February 6, 2016


Inaaminika kati ya mashabiki wenye mapenzi ya dhati ni wale wa Liverpool. Lakini upande mwingine inaonekana ni wenye msimamo.

Leo mashabiki hao waliamua kutoka uwanjani wakati Liverpool ikipambana na Sunderland katika mechi ya Ligi Kuu England.

Mashabiki hao walianza kutoka uwanjani katika dakika ya 75 wakionyesha kupinga ongezeko la bei ya tiketi huku wengine wakibaki uwanjani wakiwa na mabango yanayopinga ongezeko la bei.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic