February 2, 2016


Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm amesema kupoteza mechi moja, si jambo zuri lakini wana nafasi ya kujirekebisha dhidi ya Prisons na kufanya vizuri.

Simba inaivaa Prisons kesho mjini Mbeya katika mechi yake ya 17 ya Ligi Kuu Bara huku ikiwa imetoka kujeruhiwa kwa kuchapwa mabao 2-0 na Coastal Union.

“Mpira ni jambo lenye mambo mengi, sisi hatujawahi kucheza tukitaka kupoteza. Imetokea tumepoteza, si jambo zuri kwa mtu mwenye malengo ya kutwaa ubingwa.

“Lakini tutapambana, tutaendelea kurekebisha mambo ili kwenda vizuri kwa hatua nyingine,” alisema Pluijm.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic