Beki wa zamani wa Arsenal, Ashley Cole amesema hajajiunga na LA Galaxy ya Marekani ili akae benchi.
Cole aliyewahi pia kuichezea Chelsea na timu ya taifa ya England amesema anataka kucheza kwa kuwa uwezo unamruhusu. Cheki picha zake baada ya kutua LA Galaxy.
0 COMMENTS:
Post a Comment