February 14, 2016


Mshambuliaji nyota wa Atletico Madrid, Fernando Torres amesema kamwe hana presha ya kuihama klabu hiyo na kuhamia nchini China.

Kumekuwa na taarifa kwamba, Torres anataka kwenda China ambako klabu za nchi hiyo zimekuwa zikitoa mamilioni ya fedha kwa wachezaji nyota.

Torres amesema bado ana hamu ya kubaki Madrid alipozaliwa na kukulia kimpira na mamilioni ya China wala hayampi presha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic