MECHI IMEKISHWA, Juhudi za wenyeji Cercle de Joachim SC kutaka kusawazisha bao hilo moja la Ngoma hazikuzaa matunda katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Lakini imeonyesha kwamba si timu ya kudharau na Yanga wanaoondoka na advantage ya bao 1-0, lazima wawe makini na wajue watakuwa na mchezo mgumu wa marudiano.
Kingine ambacho kilikuwa tatizo leo ni uwanja kujaa maji, jambo ambalo lilichangia wachezaji kutocheza katika utulivu.
*********
Hadi sasa ni dakika ya 90, lakini inaonekana Yanga wanakuwa makini zaidi huku wenyeji wakishambulia mfululizo
Yanga imepata bao moja bila dhidi Cercle de Joachim SC katika Uwanja wa George V mjini Curepipe.

Hiyo ni mechi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Donald Ngoma amefunga bao hilo katika dakika ya 17.
0 COMMENTS:
Post a Comment