Kiungo nyota wa Real Madrid, Gareth Bale ametangaza kujaaliwa mtoto wa kike baada ya mpenziwe kujifungua.
Huyu anakuwa ni binti wa pili wa Bale ambaye sasa ndiye mchezaji ghali zaidi duniani.
Huyu anakuwa ni binti wa pili wa Bale ambaye sasa ndiye mchezaji ghali zaidi duniani.
Mtoto huyo amepewa jina la , Nava Valentina Bale na kiungo huyo raia wa Wales ametupia picha kwenye mtando kuonyesha furaha yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment