|
HAYE AKITANGAZA KUTOA KIPATO CHAKE... |
Wakati bondia nyota wa England, David Haye akiwa katika maandalizi ya pambano lake dhidi ya bondia asiyepigiga kutoka Kosovo-Albania, Arnold 'The Cobra' Gjergjaj, ametangaza asilimia 10 ya kipato chake katika pambano hilo atatoa kwa bondia Nick Blackwell.
Blackwell yuko kitandani taabani baada ya kipigo kikali alichokipata katika pambano lake dhidi ya Chris Bank Junior.
Bondia huyo alianguka akiwa ulingoni na baadaye kukimbizwa ICU.
|
BLACKWELL |
|
EUBANK JR AKIMCHAKAZA BLACKWELL |
0 COMMENTS:
Post a Comment