March 21, 2016


Hivi uliiona hii baada ya mshambuliaji wa Newcastle, Aleksandar Mitrovic kufunga boa la kusawazisha katika mchezo dhidi ya watani wao wa jade Sunderland, Jumapili?

Baada ya kufunga boa hilo katika dakika ya 83, Mitrovic alivua shari kuanza kushangilia. Lakini shabiki mmoja naye aliingia kwenda kumpongeza, wakagongana na wote kuanguka chini.


Walipoinuka, kila mmoja akamkumatia mwenzake tena wakaendelea kushangilia na kuwashangaza wengi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV