March 23, 2016



Mpira umekwisha
Zimeongezwa dakika 3 za nyongeza

Dakika ya 90
Kikosi cha Stars sasa zaidi kimerudi nyuma, kinalinda zaidi
Mpira unaendelea kipindi cha pili, ameingia John Bocco kuchukua nafasi ya Mwinyi Kazimoto aliyeumia

KIPINDI CHA PILI:

Sasa ni mapumziko, Taifa Stars inaongoza kwa bao moja dhidi ya Chad.

Bao la Stars limefungwa katika dakika ya 30 na mshambuliaji wa KRC Genk, Mbwana Samatta.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic