March 27, 2016



Mashabiki wa soka wa Barcelona, wameendelea kusisitiza kutaka jina la Uwanja wa Camp Nou kubadilishwa jina na kuitwa Uwanjan wa Johan Cruyff.

Kupitia mitandao mbalimbali inayohusisha makundi ya mashabiki wa Barcelona, wanataka iwe hivyo ili kuonyesha heshima kubwa kwa gwiji huyo aliyefariki dunia siku chache zilizopita.

Suala la uwanja huo kubadilishwa jina limekuwa mjadala mkubwa, wengi wakionekana kukubaliana na hilo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic