March 27, 2016

MASHABIKI WATAKA KUONA KAZI YAKEMashabiki wengi wa soka ambao wamepata nafasi ya kuona mazoezi ya Taifa Stars wamekuwa na hamu kubwa kumuona mshambuliaji mpya wa kikosi hicho akicheza kesho.

Abdillah Yusuf maarufu kama Adi anayechezea Mansfield ya England yuko katika kikosi cha Taifa Stars akifanya mazoezi pamoja na wenzake.

Kasi yake, pia mashuti na nguvu alizonazo, ndiyo zimezua gumzo miongoni mwa mashabiki.

Wakati Stars inashuka dimbani Taifa kesho kuivaa Chad kwa mara ya pili, wengi wanatamani kuona msaada wake.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic