Mtunza vifaa wa Yanga, Mahmoud Omary maarufu kama Mpogolo, haishi vituko.
Safari, ameamua kuonyesha uwezo wa simu yake kupiga selfie wakati ndiyo Yanga wanaanza mazoezi kwenye Viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam.
Mpogolo ni mmoja wa wanamichezo wacheshi mwenye marafiki wengi. Amekuwa mmoja wa watunza vifaa wachache waliodumu kwa kipindi kirefu zaidi Yanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment