KATIKA PICHA ANGALIA SIMON MSUVA ALIVYOIREJESHA YANGA KILELENI IKIIMALIZA MTIBWA SUGAR BAO 1-0 Yanga imeilaza Mtibwa Sugar kwa bao 1-0 lililofungwa na Simon Msuva na sasa imerejea rasmi kileleni. Haikuwa mechi rahisi kwa Yanga, angalia matukio yalivyokuwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment