Kocha wa zamani wa Liverpool, Brendan Rodgers ametua Celtic ya Scotland.
Kocha huyo aliyekuwa nje ya mchezo wa soma tokea Oktoba 4, mwaka jana alipotimuliwa kazini na Liverpool, amepokelewa kwa shangwe kubwa na mashabiki wa Celtic ya Scotland. Angalia ilivyokuwa shangwe.
0 COMMENTS:
Post a Comment