May 12, 2016


Kocha Roberto Martinez hana tena kazi, ametimuliwa Everton.

Martinez, ameiongoza Everton katika mechi 10 na kushinda moja tu!

Kocha huyo wa zamani wa Wigan anayetokea Hispania aliahidi Everton ingecheza Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati akipewa kazi hiyo Juni 2013, lakini mambo yamekuwa magumu kwelikweli.


TAKWIMU ZAKE:
Mechi 143, Shinda 61, Sare 39, Poteza 43
Mabao ya kufunga 227,
Mabao ya kufungwa 180

Asilimia za ushindi % - 42.7 0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV