May 12, 2016


Tottenham wameushitukia mchezo, tayari klabu kadhaa kubwa zilianza kumtupia macho kocha wao Mauricio Pochettino.

Wao haraka, wamemsainisha mkataba mpya wa miaka mitano ambao utaisha mwaka 2021.

Mkataba huo mnono unagharimu kitita kikubwa cha pauni milioni 5.5 kwa mwaka na unakuwa ni mmoja wa mikataba minono kabisa England.

TAKWIMU ZA POCHETTINO:
MECHI: 109
SHINDA: 55
SARE: 28
KUPOTEZA: 26
ASILIMIA YA USHINDI: 50.46 0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV