HAITAKUWA KAZI RAHISI LEO UWANJA WA TAIFA AZAM FC IKIIVAA YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO Itakuwa ni fainali kali ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo. Azam TV watakuletea mechi hiyo moja kwa moja kutoka uwanjani hapo. Kaa kwenye runinga yako upate utamu. Kikubwa kumbuka kuwa umeishalipia ili mambo yaende vizuri zaidi.
0 COMMENTS:
Post a Comment