May 25, 2016


Nchi nzima imesimama leo, gumzo katika mecho wa soka ni fainali kali ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo.

Azam TV wataonyesha LIVE, unajua kiwango cha uonyeshaji wao na kama umelipia king'amuzi chako, tulia upate raha.

Lakini kama ni shabiki kweli, bado unaweza kutoa maoni yake hapa, kabla na baada ya mtanange huu wa kukata na mundu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV