May 17, 2016


Kikosi cha Serengeti Boys kipo uwanjani sasa hivi katika mechi ngumu dhidi ya wenyeji India.

Mechi hiyo ni ya michuano maalum inayofanyika nchini India, Serengeti Boys wakiwa ni sehemu ya waalikwa.

Mechi hiyo ni ngumu kwa kuwa wenyeji India wana kikosi imara lakini vijana wa Serengeti Boys wanaonekana kupambana kwelikweli.


Hii ni mechi ya pili kwa kuwa mechi ya kwanza, Serengeti walipata sara ya bao 1-1 dhidi ya Marekani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV