May 25, 2016


Si mnamuona mbahili? Safari hii anaonyesha amepania kufanya kweli baada ya Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kuanza usajili.

Wenger amemnasa mchezaji Granit Xhaka aria wa Switzerland ambaye anajiunga na Arsenal kwa kitita cha pauni million 35.


Xhaka kutoka Borussia Monchengladbach ya Ujerumani anajiunga na Arsenal na atakuwa akidaka mshahara wa pauni 110,000 kwa wiki.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic