May 25, 2016


Vijana wa Serengeti Boys wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Malaysia katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu katika michuano ya vijana ya AIFF ya nchini India.

Ushindi huo unaipa Serengeti Boys nafasi ya tatu kupitia mabao matatu yaliyofungwa na Rashid Abdallah katika dakika ya 13, Shabani Zubeiri katika dakika ya 41 na  Mushin Malima akamalizia bao la tatu katika dakika za lalasalama za kipindi cha kwanza.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic