June 17, 2016


Klabu ya Everton imeamua kufanya marekebisho kuuboresha uwanja wake wa Goodison Park kabla ya msimu ujao wa Ligi Kuu England.

Everton maarufu kama The Toffees tayari wameandika barua kwenda Manispaa ya mii wa Liverpool kuomba kufanya marekebisho ili uwanja huo uwe bora zaidi na kufikia kuchukua hadi watu  40,221.

Taarifa zimeeleza michoro kwa ajili ya marekebisho na kila kitu imeishakamilika.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV