July 30, 2016


Pierre ndiye mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Rwanda kwa msimu wa 2015-16.

Kwizera ameisaidia timu yake kubeba ubingwa wa Kombe la Amani ambalo bingwa wake hucheza michuano ya Kombe la Shirikisho.

Kiungo huyo, alitimuliwa Simba baada ya kucheza nusu msimu tu huku mwenyewe akilalamika kwamba Simba hawakumpa nafasi ya kucheza lakini wakatumia muda mwingi kumlaumu.


Raia huyo wa Burundi ambaye ni mtaratibu sana, alionyesha uwezo wa juu na kuifanya Rayon ambayo ina mashabiki wengi zaidi nchini Rwanda kuwa timu isiyokamatika hasa katika kiungo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV