July 30, 2016


Kikosi cha Serengeti Boys imeanza mechi zake za kirafiki leo kwa sare ya bila kufungana dhidi ya Madagacar.

Mechi hiyo imepigwa jijini Antananarivo na Serengeti wameonyesha soka safi ingawa timu ya wenyeji ilionekana iko imara kweli.Serengeti Boys imeweka kambi nchini humo kujiandaa na mechi yake ya kwanza dhidi ya Afrika Kusini na Agosti 3 itaondoka nchini humo kwenda Johannesburg kwa ajili ya mechi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV