July 10, 2016

 Rais wa Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ leo wameongoza dua maalum ya kikosi cha Simba.

Dua hiyo maalum ilifanyika makao makuu barabara ya Msimbazi jijini Dar es Salaam, ikiambatana na utambulisho wa wachezaji wapya.

Baada ya hapo, kikosi cha Simba kiliondoka kwenda Morogoro ambako kimeweka kambi kujiandaa na Ligi Kuu Bara.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV