MURRAY ALIVYOFANYA KWELI NA KUBEBA TAJI LA WIMBELDON DHIDI YA MCANADA Andy Murray is ameiwakilisha vizuri Uingereza kwa kubeba Kombe la Wimbeldeon. Katika michuano hiyo maarufu ya tenisi, Murray amemshinda Milos Raonic aria wa Canada kwa 6-4, 7-6 (7-3), 7-6 (7-2).
0 COMMENTS:
Post a Comment