July 24, 2016Kikosi cha Yanga chini ya Kocha Hans van der Pluijm kimeendelea na mazoezi yake ya mwishomwisho kabla ya kuwavaa Medeama, keshokutwa.

Yanga itawavaa Medeama katika mechi yao ya nne ya Kombe la Shirikisho hutua ya Makundi wao wakiwa Kundi A.

Tayari Pluijm ambaye ni Kocha Bora wa Ligi Kuu Bara amesisitiza kuwa mechi itakuwa ngumu lakini watapambana kwa kuwa wanatka kushinda na kubadili mambo.

Yanga ndiyo inayoshika mkia Kundi A ikiwa na pointi moja tu, Medeama wana mbili.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV