July 25, 2016 Mshambuliaji nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameendelea na mapumziko yake huku safari hii akikutana na bingwa wa mchezo wa UFC ambao wapambanaji hutumia ngumi na mateke.


Ronaldo amekwenda kucheza mchezo huo na bingwa Conor McGregor akiwa jijini Las Vegas, Marekamni.
Ronaldo, bado anaendelea kula raha katika kipindi cha mapumziko ambacho ni majeruhi.

Katika picha Ronaldo ameweka pozi akiwa na McGregor utafikiri wanazichapa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV