August 5, 2016


Klabu ya Simba, imemalizana na beki raia wa Zimbabwe, Method Mwanjali ambaye aliwahi kuichezea Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Beki huyo Mzimbabwe alikuwa kati ya wachezaji wa kwanza kabisa wa kigeni kukubalika na Kocha Joseph Omog raia wa Cameroon.


Mwanjali amejiunga na Simba na kusaini mkataba mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva, haijaelezwa ni muda gani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV