August 5, 2016


Klabu ya Simba, imemalizana na beki raia wa DR Congo, Janvier Bosala Bukungu ambaye aliwahi kuichezea TP Mazembe.


Awali kulikuwa na taarifa kuwa Kocha Joseph Omog hakuwa amerithishwa na kiwango cha Bukungu ambaye alidaiwa kucheza 'kifaza'.

Bukungu amejiunga na Simba na kusaini mkataba mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva, haijaelezwa ni muda gani.

1 COMMENTS:

  1. Huyu mcheza mayenu hana jipya kabisa,kweli ni zali la mwaka!

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV