Barcelona imepata ushindi wake mwingine wa La Liga, safari hii dhidi ya timu ngumu ya Athletic Bilbao.
Hata hivyo, Barcelona ililazimika kufanya kazi ya ziada na kushinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Ivan Raktic.
Haikuwa kazi rahisi kwa kuwa wenyeji Bilbao walionekana kuwa kwenye kiwango bora kabisa.
Barcelona ilianza La Liga kwa kishindo kwa kuichapa Real Betis kwa mabao 6-2 huku Luis Suarez akipiga hat trick.
.
0 COMMENTS:
Post a Comment