Kiungo wa Tottenham, Dele Alli ameamua kubadili jina atakalokuwa akilitumia kwenye jezi yake.
Awali alikuwa akitumia jina la ubini wake, lakini sasa ameamua kubadili na kutumia jina lake la kwanza.
Maana yake, badala ya Alli, jezi yake namba 20 kwa Spurs na ile ya timu ya taifa ya England itakuwa ikisomeka Dele.
Mbona sababu huandiki ndio matatizo ya C&P
ReplyDelete