August 6, 2016 Mwenyekiti wao, Yusuf Manji amewasili kwenye mkutano wa dharura aliouitisha leo akitaka kukutana na wanachama wa klabu hiyo. 

Mkutano huo unafanyika eneo la Upanga, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee eneo la Upanga jijini Dar es Salaam na Manji tayari amekaa kwenye kiti akisubiri kuanza kwa mkutano huo. Atasema jambo gani, ndicho kinachosubiriwa kwa hamu kubwa.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV