August 12, 2016


Michezo ya Olimpiki inaonekana kukosa mashabiki wengi kama ilivyotarajiwa.

Michuano hiyo inafanyika katika jiji la Rio de Janeiro nchini Brazil.

Watu wamekuwa wakijitokeza kwa kiwango cha chino kabisa ukilinganisha na michezo ya Olimpiki ya mwaka 2012 iliyofanyika London, England.

Siti nyingi zimekuwa zikionekana kuwa wazi, wengine wakisema inachangiwa na hali ya hewa ya mvua.

Lakini wengine wanasema imedoda tu na Brazil zaidi wanapenda soka zaidi kuliko aina nyingine ya michezo. Cheki mwenyewe.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV