August 1, 2016


Mohammed Dewji amesema amewahi kukutana na Rais wa Simba, Evans Aveva zaidi ya mara tatu.

Dewji maarufu kama Mo amesema amekutana na Aveva pamoja na baadhi ya wajumbe wa kamati ya utendaji.

“Aliwahi kuja ofisini kwangu, tumekutana zaidi ya mara tatu. Wakati fulani alikuja akiwa na Kaburu na tutazungumza.

“Baadhi ya hoja ya kwamba mimi sikukutana na viongozi na ninaongea kwenye vyombo vya habari tu, si kweli,” alisema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV