August 7, 2016


Leicester imempa mkataba wa miaka mitano kipa wake Kasper Schmeichel.

Kipa huyo aliyeiwezesha Leicester kubeba ubingwa wa England, ameichezea mechi 200 tokea alipojiunga nayo mwaka 2011.

Schmeichel mwenye umri wa miaka 29, ni mtoto wa kips wa zamani wa Manchester United Peter Schmeichel.

TAKWIMU:
Mechi - 38
Bila kufungwa - 15
Wastani kwa mechi - 2.11
Wastani wa mafanikio - 95%
Kadi za njano/Nyekundu - 2/0 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV