August 28, 2016Kwa mara ya kwanza Yanga itakuwa ikikanyaga nyasi za Uwanja wa Taifa, leo Jumapili kukipiga dhidi ya African Lyon katika msimu wa 2016/17.

Huu utakuwa mchezo wa kwanza kwa Yanga kwa kuwa ilikuwa bize na michuano ya kimataifa ambapo ilikuwa ikishiriki katika Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushushwa hapo ikitokea michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Salehjembe itakuletea matukio yote kuanzia dakika ya kwanza mpaka mchezo utakapomalizika ‘LIVE’. Tayari kikosi cha Yanga kimejulikana kuelekea katika mchezo huo, nacho ni hiki hapa:

1. Deo Munishi ‘Dida’
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Andrew Vincent ‘Dante’
5. Vincent Bossou 
6. Thaban Kamausoko
7. Simon Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Donald Ngoma
10. Amiss Tambwe
11. Deus Kaseke

Sub
Kakolanya, Oscar, Pato Ngonyani, Mahadhi, makapu, Mateo, Yusuph


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV