September 22, 2016


Atletico Madrid wabishi kweli, wameibana Barcelona ikiwa kwake Camp Nou na kufanikiwa kupata sare ya bao 1-1 katika mechi yao ya tano ya La Liga.

Mamoja na kufungwa bao la Ivan Rakitic  katika dakika ya 41, lakini walikomaa hadi waliposawazisha kupitia Angel Correa katika dakika ya 61.

Mechi hiyo ilikuwa ngumu mashabiki wa Atletco wakimshuhudia nyota wao Lionel Messi akitoka nje baada ya kuumia katika dakika ya 58.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV