October 9, 2016


Mabingwa wa Afrika Mashariki, Azam FC wameendelea na mazoezi yao ikiwa ni hatua ya mwisho kabla ya kuwavaa Stand United.

Azam FC ambayo mwendo wake bado haujawa mzuri imeendelea kupambana kuhakikisha mambo yanakwenda poa.


Mechi dhidi ya Stand United ambayo inaonekana kuwa moto msimu huu, itapigwa Jumatano ijayo kwenye Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV