October 4, 2016Kikosi cha timu ya mpira wa kikapu, kimeichapa timu maarufu na bora kutoka Marekani ya Oklahoma City Thunder katika mechi kali ya kirafiki.

Madrid wameichapa Thunders aliyowahi kuichezea Mtanzania Hasheem Thabeet kwa vikapu 142-137 na kuwashangaza wengi.

Timu hiyo ya Marekani inayoshiriki NBA ipo katika ziara ya maandalizi ya msimu mpya na imeamua kusafiri hadi Hispania na kujifua.

Baada ya hapo, Thunders wanasafiri kwenda Barcelona ambako pia watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Barcelona.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV