October 3, 2016


Cristiano Ronaldo ameonyesha yeye ni mzazi wa kawaida kama wazazi wengine.

Ameonyesha hivyo baada ya kugeuka “ball boy”, yaani wale vijana waokota mipira wakati mwanaye akicheza mechi.

Kila mipira ikipigwa nje ya uwanja, Ronaldo alikuwa akikimbia kwa kasi kubwa kwenda kuipiga.

Ronaldo hakuonyesha kabisa kama ni mchezaji nyota ambaye hawezi kufanya kazi kama hiyo.

Badala yake alifanya jambo ambalo linaweza kufanywa na mzazi yoyote na kuthibitisha yeye ni mzazi wa kawaida.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV