Barcelona wamefanya mazoezi yao ya mwisho leo wakiwa tayari wanawasubiri Man City kwa ajili ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, kesho.
Mechi hiyo kwenye Uwanja wa Cam Nou jijini Barcelona inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki kwa kuwa "mtoto wa nyumbani", Pep Guardiola anarejea akiwa mgeni maana ndiye Kocha Mkuu wa Manchester City.
0 COMMENTS:
Post a Comment