October 18, 2016Man City wanaonyesha wamepania kushinda kesho katika mechi dhidi ya Barcelona.

Hii itakuwa ni ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Man City wameondoka jijini Manchester kila mchezaji akiwa ametupia mavazi yanayofanana na kila mmoja thamani yake ni pauni 1,735 (Sh milioni 6.1).


Pep Guardiola ndiye aliongoza kikosi chake huku wachezaji wote wakionekana ni wenye furaha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV