October 5, 2016


Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi tena ikiwa ni mara ya pili baada ya mechi yake dhidi ya watani wake Yanga.

Simba inajiandaa na mechi yake inayofuata dhidi ya Mbeya City, wiki ijayo mjini Mbeya.

Kikosi cha Simba chini ya Kocha Joseph Omog kimeendelea na mazoezi hayo kwenye Uwanja wa Kinesi eneo la Shekilango jijini Dar es Salaam.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV