Baada ya kuzuiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jiulus Nyerere (JKIA), bondia Dulla Mbabe hatimaye amtua nchini Ujerumani.
Dulla ambaye siku chache zilizopita amemtwanga bondia Mchina katika raundi ya kwanza, atawania taji la WBC na tayari yuko nchini humo.
Kabla alizuiliwa na kupekuliwa vilivyo kwa hofu kuwa alikuwa amebeba dawa za kulevya, lakini mwisho uchunguzi wa polisi ukaonyesha alikuwa safi na siku iliyofuata akaruhusiwa kuendelea na safari yake kwenda Ujerumani.
0 COMMENTS:
Post a Comment