November 30, 2016



Kipa wa Medeama, Daniel Agyei ametua nchini tayari kumalizana na Simba.

Lakini kwa hali inavyoonekana, huenda Simba imeishamaliza kila kitu kwa kuwa Agyei amekuja nchini na rundo la mabegi.

Mabegi ya Agyei, inaonyesha ni mtu aliyekuja kazini na hana mpango wa kurudi kwao keshi, labda baada ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara kwisha.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic