November 15, 2016


Mwezi mmoja wa dirisha dogo la usajili umefunguliwa leo na timu za Tanzania ziko huru kuanza usajili.

Dirisha hilo dogo la usajili, limeanza leo hadi Desemba 15, mwaka huu pale litakapofungwa.

Timu zinatakiwa kuanza kufanya usajili kwa ajili ya kuimarisha vikosi vyao.

Kila timu itakuwa na nafasi ya kuona inamhitaji nani au haimhitaji nani kwa ajili ya kujiimarisha kwa mechi 15 zilizobaki za mzunguko wa pili kukamilisha ligi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV