December 16, 2016




Wakati Kagera Sugar imefanikiwa kukamilisha usajili wa kipa Juma Kaseja, Mbeya City wao wameweka pingamizi.

Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza Mbeya City wameweka pingamizi kwa kuwa Kaseja alikuwa mambo kadhaa ya kwenye mkataba.

Kaseja alikuwa akikipiga Mbeya City, lakini mwishoni hakurejea kambini katika muda mwafaka na Kocha Kinnah Phiri akamtaka "kubaki hukohuko".

Mwisho, Kaseja aliamua kurejea uwanjani katika Ligi Kuu Bara kwa kusajili Kagera Sugar jambo ambalo City wanalipinga na wamewasilisha pingamizi lao TFF.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic