December 11, 2016


Bondia nyota wa Uingereza,  Anthony Joshua amemtwanga Eric Molina kwa KO katika raundi ya tatu.


Katika pambano hilo Joshua amemchakaza Molina vilivyo na sasa anamtaka Wladimir Klitschko ambaye pambano lao sasa litapigwa Aprili 29 hapohapo kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.


Baada ya ushindi huo wa Joshua,  Klitschko aliyekuwa ukumbini, alipanda jukwaani hapo na kuzungumza kuhusiana na pambano hilo la Aprili 29, kwamba yuko tayari.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic