December 1, 2016Kipa wa West Ham, Adrian jana alimrukia mshambuliaji mkongwe wa Man United, Zlatan Ibrahimovic wakati akifunga bao lake la kwanza katika mechi ya EFL ambayo Man United ilishinda kwa mabao 3-1.

Adria alimrukia Zlatan vibaya na huenda angeweza kumvunja mguu au kumjeruhi vibaya mshambuliaji huyo Mswidi.
1 COMMENTS:

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV